offer yangu ni laki mbili na nusu km mzigo ni mzuri naweza kuongeza helaDESKTOP
1.HDD 500gb+
2. Ram 4gb+
3. Icore i3 or i5
4. Monitor 19 inch+
LAP TOP
hdd 500
ram 4 gb
km unayo ni PM
nipo Dsm temeke
kwa hizo specificaions ulizotaja ukipata kwa hiyo hela shukuru lskini epuka usipigwe!!offer yangu ni laki mbili na nusu km mzigo ni mzuri naweza kuongeza hela