Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau nahitaji samsung galaxy note 5 au s6 edge iliyo tumika iisiyo na tatizo lolote bajeti yangu ni 200000 Napatikana dar kwa mawasiliano zaidi njoo pm
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama una friji saizi ya kati kwa bei nafuu weka ofa yako hapa na picha yake, iwe katika hali nzuri nipo dar
0 Reactions
17 Replies
4K Views
HP NOTEBOOK USED[emoji91] WARANTEE 2 YEARS[emoji95] PROCESSOR CORE i3 RAM 4GB HDD 250GB PRICE 330000 TSH FREE BAG CALL 0719389990
1 Reactions
1 Replies
631 Views
Niko sumbawanga bei ni 250000
0 Reactions
3 Replies
838 Views
Kama heading ilivyo nina eneo la kiwanda maeneo ya Kisarawe eneo lililoteuliwa kuwa la viwanda ,nina sqm 5000 ikiwa na document zote za serikali ,eneo lipo umbali wa km 8 kutokea kiluvya ,liko...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
mwenye uhitaji wa huyu fundi ajitokeze
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Line za uwakala zinauzwa zipo active zote mbili Mpesa na Airtel money laki mbili tu Zote wahi hii ofa Mbezi beach 0744051524/ 0689988307 ziwahi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu..Nina vifaa vya ujenzi(used) nilinunua toka UK kwa ajili ya biashara ya kukodisha. Kwa bahati mbaya yule aliyekuwa asimamie biashara hiyo alitangulia mbele ya haki, hivyo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
MSIMU HUU SIKUKUUU DRAGON MABATI INAPENDA KWANZA KABISA KUWATAKIA WATANZANIA WOTE NA WATEJA WAO WOTE MAANDALIZI MEMA YA SIKUKUU YA CHRISSMASS & MWAKA MPYA 2019 NA PIA KUWAKARIBISHA WATEJA WETU...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
**INAUZWA** Sony Experia Z3 Display 5'2 | ram 3gb Network 4G | Storage 32gb Camera 20.7mp LED Flash Ina Grove mode (una touch hata kama Umevaa groves) Battery 3100mAh Price 220k
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Je unawazo la biashara?je unahitaji professional support kubadilisha wazo lako katika bidhaa itakayokupa faida? Ennovate incubation program ni fursa kwako leo kukamilisha ndoto zako. Jiunge nasi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bajaji piaggio ape iliyo kwenye hali nzuri inauzwa serious buyer call 0625534336
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imepitwa muda
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Specification Ram 2GB Hard disk 150 GB Processor duo core intel inside monitor (samsung inchi 19) unapata kila kitu Mouse keyboard Power na VGA offer utapata modem universal free kabisa Bei...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
AGIZA Gari kutoka AUTOCOM JAPAN - upate punguzo zaidi Toyota townace Noah Year-1999 Road Tourer | 2wd cc1999 | seat8 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Gharama kamili mpaka...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
WAKUU, Nina laini ya wakala ya Tigopesa ambayo niliinunua kwa mtu. Nimeitumia kwa mwaka mmoja na sasa nimepata yenye jina langu, Hivyo nataka niiuze hii ya awali. Changamoto ni kwamba hii...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar! Jamani kwa wakaz wa kanda ya ziwa naomba kuwashilikisha biashara hii ya dagaa kusafilisha kuleta mikoa ya kanda ya kat kama Tabora, singinda, Dodoma na morongoro. Inalipa baraa. Mi npo moro...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
kuelekea msimu wa sikukuu tutakuwa na punguzo la bei kuku wa kienyeje watauzwa kwa bei ya Elf 12000 Tu Badala ya Elf 15000 Tunapatikana Morogoro mjini Mtaa wa Masika Wahi sasa Ujipatie kuku aliye...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Gari iko vizuri, haina shida yoyote. Inauzwa 4,300,000 Ina Cc 997, Imetembea Km 150,000 Haijapata ajali Options zote zinafanya kazi Engine ya VVTi na haijafunguliwa Gia box iko vizuri, Body pia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom