Kwa wanaohitaji kutengenezewa mchanganuo wa mahesabu (Business plan)

Kwa wanaohitaji kutengenezewa mchanganuo wa mahesabu (Business plan)

biznocrat

Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Kwa wanaohitaji kutengenezewa mchanganuo wa mahesabu (Business plan).

Natengeneza michanganuo ya mahesabu ya uhakika (bankable) kwa bei ya ushindani.
Nina Bcomm (Acctg), CPA na TIOB pamoja na uzoefu usiopungua miaka 18 wa kutengeneza michanganuo ya mahesabu.

Nimebuni mfumo wangu mwenyewe wa kutengeneza michanganuo ya mahesabu ambao unapendelewa na mabenki kwa sababu unaonyesha cashflow ya mradi bila chenga ukilinganisha na mifumo ya utengenezaji ya kizamani.

Unapata kazi yako ndani ya wiki mbili tangu ulipokabidhi data zote zinazohitajika kwa ajili ya kufanya zoezi hilo.

Ninachaji 0.5% ya mtaji unaohitajika kuendeshea biashara husika kiwango cha chini ni TZS 500,000 na kiwango cha juu ni TZS 5,000,000 (ina maana kama 0.5% ni chini ya TZS 500,000 basi itabidi ulipe TZS 500,000 na kama 0.5% ni zaidi ya TZS 5,000,000 basi utalipa TZS 5,000,000 tu.)

Baadhi ya wadau niliowahi kufanya nao kazi katika shughuli hii ya kutengeneza michanganuo ya mahesabu ni pamoja na Exim bank, Akiba Commercial Bank, Victoria Finance, Arusha Urban Water Supply and Sewerage Authority (AUWSA), Horti Organics Ltd, Mission Mikocheni Hospital, St Mary's Teachers Training College, Prime Consult International Ltd, Thrillton Consulting Ltd, Innovex Consultancy Ltd, Chabegan Associates, ASK Africa Farmer Ltd, Progress Education Ltd, Grand Villa Hotel, Phantom Oil (T) Ltd, Tanzania Meat Company (TMC Ltd), Swan Flour Mills Ltd, Light Mission Foundation, YAHP Agrobusiness Ltd, Nyaki Construction Co Ltd, CEC Education, Extreme Solutions Ltd and FELISA Co Ltd.

Kwa wale watakaohitaji huduma ya kutengenezewa michanganuo ya mahesabu tuwasiliane kwa namba hii 0658 977 330
 
Back
Top Bottom