Kiwanja kimepimwa kipo kimbiji kigamboni kipo sehemu nzuri karibu na mji WA evic town bei ni milioni kumi mawasiliano 0655634017 kwenye hiyo ramani kiwanja namba 244
Sent using Jamii Forums...
Habari za saa hizi wakuu?
Rejea kichwa cha tangazo hapo juu natafuta sehemu ya kufungua gori la chips hapa dar es salaam. ningependa nipate sehemu wanayouza chakula au bar mi nideal na kuuza...
Habari wana jamii forum , kama kichwa cha habari kinavyo jiheleza hapo juu natafuta shamba la kukodisha liwe maeneo yanayo weza kufikika kwa huraisi ndani ya jiji la Dar es salaam, sana sana...
Wanajamii,
Nipeni msaada wapi naweza kupata engine hiyo kwa ajili ya matumizi ya gari la familia. Engine iliyokuwa kwenye gari ilo imeleta shida hivyo nabadili na kuweka hiyo 3s-ff kulingana na...
Habari za muda huu wana JF,
Naomba tuutumie uzi huu kutangaza bidhaa za ndani kama redio, TV, fridge, ving'amuzi, set za vyombo, kabati za nguo na vyombo nk.
Weka picha ya bidhaa, contact zako...
Ni muhimu kufahamu kwamba, mchakato wa uandaaji wa andiko kwa ajili ya zabuni una ushindani mkubwa. Uwasilishaji wa andiko huanza kufanyika baada ya mteja kutoa wito wa uwasilishaji wake yaani...
Bila kupoteza mda, member mwenzenu nahitaji namba nitakayoweza kuwapigia Airtel na kuongea moja kwa moja na costumer care..
Sitahitaji namba ambayo ukipiga unaanza kupewa maelezo meeeengi, mwisho...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu...natafuta chumba na sebule na choo ndani...maeneo ya kimara mwisho bonyokwa vyumba vinane,
Mbagala rangi tatu au mbagala zakhem. Na maeneo yanayozungukq...
Unangoja nni kupima afya yako. jiunge nasi uwe mwanachama wa ETERNAL INTERNATIONAL kama utapenda maana hailazimishwi ila ukijiunga Utafaidika na mambo mengi ikiwemo kufanya biashara na kujikwamua...
Kama kichwa kinavosema ila kwa bahati mbaya kabisa sina PICHA ya tangazo langu ila kwa mwenye uhitaji kuna masofa Mawili mazuri na Mapyaaa..Narudia tena na Tena sijaweka picha sababu nina uhakika...
IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS
*****************************************
Import your favourite car with us. (Agiza gari uitakayo kupitia kwetu): Tunauwezo NA uzoefu wa kukuagizia Gari yako kutoka kwa...
unangoja nni kupima afya yako. jiunge nasi uwe mwanachama wa eternal international kama utapenda maana hailazimishwi ila ukijiunga utafaidika na mambo mengi ikiwemo kufanya biashara na kujikwamua...
Tunahitaji Mtaalamu wa mizani (weighbridge) kwa ajili ya kufanya settings, kwny mzani wa kampuni pamoja na kusajili kwa wakala wa vipimo.
Mahali Ni Dar es Salaam.
Contact-0714010511. 0764931111