Wapi katika jiji la Mbeya ninaweza kupata Viwanja na mashamba

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,084
2,000
Ndugu zangu wapi katika jiji la Mbeya naweza kupata shamba au kiwanja. Nina mil. 3.
Nataka kulima na kujenga na pia kufuga. Viwanja vya bei poa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom