Wauzaji wa vifaa vya ndani tukutane hapa

msangi360

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
283
308
Habari za muda huu wana JF,

Naomba tuutumie uzi huu kutangaza bidhaa za ndani kama redio, TV, fridge, ving'amuzi, set za vyombo, kabati za nguo na vyombo nk.

Weka picha ya bidhaa, contact zako na specification za hiyo bidhaa.

Karibuni.
 
Back
Top Bottom