zaza1
Member
- Jun 28, 2018
- 60
- 50
Habari wana jamii forum , kama kichwa cha habari kinavyo jiheleza hapo juu natafuta shamba la kukodisha liwe maeneo yanayo weza kufikika kwa huraisi ndani ya jiji la Dar es salaam, sana sana kigamboni . Hali ya shamba liwe linafaa kwa kilimo cha mboga mboga , bei isidhidi Tsh 50,000/= kwa msimu mmoja . Kwa mawasiliano zaidi ni PM tuweze kufanya biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app