Nahitaji namba nitakayoweza kuwapigia Airtel directly..

Nahitaji namba nitakayoweza kuwapigia Airtel directly..

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,773
Reaction score
7,375
Bila kupoteza mda, member mwenzenu nahitaji namba nitakayoweza kuwapigia Airtel na kuongea moja kwa moja na costumer care..

Sitahitaji namba ambayo ukipiga unaanza kupewa maelezo meeeengi, mwisho wa siku unafeli kupata huduma stahiki, me nahitaji namba ambayo nikipiga nawapata moja kwa moja bila kukunja manjia...

Nawasilisha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi pia ninashida nayo kweli...hawa jamaa hawako serious kabisa...mimi wakala wa airtel money miezi miwili sijapata commission alafu wakala mkuu haeleweki maelezo hayajanyooka
 
Mi pia ninashida nayo kweli...hawa jamaa hawako serious kabisa...mimi wakala wa airtel money miezi miwili sijapata commission alafu wakala mkuu haeleweki maelezo hayajanyooka
Duuh, hawa ni majipu basi
 
Back
Top Bottom