[emoji95][emoji298][emoji91]STREET WINNER MOBILE & COMPUTER SOLUTION[emoji95][emoji298]
Habari wakuu Kwa mahitaji ya huduma zifuatazo msisite kututafuta:-
[emoji98]Mahitaji ya Kuunlock network...
Nahitaji gari mmoja kati ya hizi mbili wadau.
1. Primio- usajili D. bei isizidi million 8.
2. Allion_ usajili D. bei isidi million 8.
Mwenye kati ya aina izo mbili za gari twaweza wasiliana...
Wadau nauza mzani mdogo wa kupimia uzito wa kawaida kwa wanadam. Ni ule mzani ambao unakanyaga kupata kilo zako. Ni wa analog na sio digital.
Mzani huu nlikua nautumi kwenye project yangu flan na...
Ipad Air 1
WIFI ONLY
32GB
Comes in excellent condition
Battery LAST LONG
Updated to the latest iOS 12.1.4
Great Soundful speakers matching with a Beautiful display
Comes with charging cable only...
32GB ORIGINAL FLASH DISK FOR ONLY TZS 20,000
🆕🆕🆕🆕🆕🆕🆕🆕🆕
Pata Flash disk bora yenye uwezo wa kusoma kwenye Laptop, TV, Radio etc na kutunza mafile ya aina zote(video, audio, documents, softwares...
Habari za leo ndugu zangu
Nina Laptop computer available for sale, Inauzwa
Specification:
Ni computer used, japo haijawa kwenye matumizi muda mrefu
RAM ni 2GB
Hard Disk 500GB
Processor ni core...
Wadau pole na majukumu, kuna kiwanja / kiwanja kinyelezi kimbii, yani sehem imechangamka badalaa, na barabara imenyooka.
Nauza kwa 40M. Maongezi yapo, nahitaji kuhama faster kama kuna mtu...
Habari,
Tunaunda na kufunga system ambayo itaweza kutambua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwezi.
Kupitia system hii utaweza
*kujua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwez...
Habari Wapendwa
Nauza gari aina ya Nissan Civilian namba B kwa gharama ya Milioni 8 tu, gari ni nzima na inatembea vizuri tu mawasiliano 0659756647 Whatsapp au kawaida
0623953036
Sent using...
Je wewe n mkulima au ungetamani kuingia kwenye kilimo natoa ushauri wa bure juu ya Aina nzuri Na Bora ya trekta ?
Na connect na trekta zinazouzwa Bei nafuu hapa Tanzania (unanip posho kidg)
Na...
Tz matata collection inawatangazia watu woote wenye uwezo wa kutaka kufanya biashara kwa mtaji mdogo TUWASILIANE NUMBER 0719818147 AU 0687265045
VITU JUMLA NI THE 10500
Tz matata collection...
Nahitaji second hand tractor la kununua ambalo halija lima hapa Tanzania, make ni Fm 240 au ford 3500.lisiwe Turbo power.Kama litakuwa NA Majembe yake bora zaidi (jembe la kawaida na la tuta)
Karibu chumba chenye upana wa 4 mita na Urefu wa 4.5 mita. Ni self contained Kinapangishwa kwa Tshs 50,000/ kwa mwezi Kiluvya Madukani. Unaweza kutupigia number 0788-318671 kwa maelezo zaidi...
1. Apatiment- Kunduchi Beach
Ina Vyumba 2 Kimoja Kina Choo ndani, Sebule, Jiko na Choo cha Kuchangia.
Ina Fensi, Maji ya dawasco, Luku yake .
Inapangishwa Kwa Tsh 350,000 Kwa Mwezi Mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.