Sofa la watu watatu na watu wawili

Perimeter

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,149
2,000
Kama kichwa kinavosema ila kwa bahati mbaya kabisa sina PICHA ya tangazo langu ila kwa mwenye uhitaji kuna masofa Mawili mazuri na Mapyaaa..Narudia tena na Tena sijaweka picha sababu nina uhakika na nikiuzacho lkn pia ni sababu sina smart phone.

Bei : la watatu = 200,000
la wawili = 160,000

Ni masofa haya mapya sio ya kizamani ni Fashion set,najua mtapata wasi wasi kwasababu hamna uhakika na siku zote hamna muuzaji anaepondea kitu chake ila Nahakikisha kwa yeyote ataekuja kuona akakuta ni mabaya,yamechakaa,yamechoka, NAMPA HELA KUANZIA YA BANDO LAKE ALOTUMIA kusoma hili tangazo mpk ya usafiri alotumia kufata kuona Bidhaaa.

Karibuni..Mawasiliano tukutane INBOX.

LOCATION : DAR/MBEZI MWISHO
 
myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,630
2,000
Umeandika maneno mengi sana, tena sana ambayo yote hayo yangemezwa kwa picha MOJA TU, basi! Man, if you're serious, azima simu hata kwa jirani vinginevyo, dah; haya bhana, kuna maparoko humu pamoja na wazee wa makanisa; huenda wao wakakuelewa, but kwa akina sie, it doesn't matter how much you play innoncense, picha kwanza!!!

Hayo mambo kwamba utarejesha sijui bundle yake sijui nini; it's an insult! Muda na wenyewe utaurejesha vipi?! unaonaje basi hiyo pesa uliyotenga kufanya re-fund ukampa mshikaji wa hapo jirani ili akuazime simu japo kwa dakika 5?!
 
Mnyenz

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
1,265

Mie ni Paroko, mwambie nalitaka hilo la watu wawili kwa 50,000/=

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom