Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Viwanja vinauzwa Buyuni Ilala,vina hati tayari. Title no.111784.Plot no.89 Block no.32.Kina ukubwa wa square meter 1,646.kiko Buyuni Ilala,Dar. 15milion shillings maongezi yapo. Title...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Toyota KLUGER (DMD) Year 2004 Cc 2360 Kms 70,000 Engine Vvti 4Cylinder Sport Rims Forg Lights Seating Capacity 5 Music Radio/ Cd/Bluetooth Clean Seats Full Documents (File) Fuel Petrol...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari! nina mihogo ekari mbili aina ya rasta imeshakomaa. shamba lipo kijiji cha msanga-chanika-pwani. kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia 0714306015
0 Reactions
0 Replies
761 Views
(A)Kuhusu frame 1.Mji>Dar es Salaam(Priority ni Ubungo,Kinondoni na Ilala). 2.Eneo liwe limechangamka(watu wengi) 3.Pawe panafikika kwa urahisi(Barabara nzuri/Bitumen standard). 4.Bajeti yangu...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Nipo bagamoyo nahitaji mashine hio ili nikabiliane na hali ngum ya maisha.. Mashine iwe used,, na isiwe na tatzo lolote.. Ni PM KAMA UNAYO.. HASWA KWA WAKAZI WA PWAN NA DAR
1 Reactions
1 Replies
994 Views
je wapi nitapata mashine ya kutengeneza mifuko ya karatasi? Maarufu mifuko ya kaki kuanzia robo kilo, nusu, kilo hadi kilo 2? Hii inatumika sana madukani na hata kufungia vyakula(take aways)
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Natafuta account ya playstore yenye muda kidogo Nitainunua kwa cash Tzs 80,000/= kama unayo huitumii piga 0769284849
0 Reactions
1 Replies
824 Views
Habri wapendwa katika bwana,sorry nahitaji screen nchi 24 kama kuna mtu yeyote anaiuza plz ni pm tuyajenge. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naitaji kutengeneza bahasha zile ambazo watyu uwa wanafungia vyakula wana wekea bidhaa kama simu mafuta n.k Msaada wangu nikujua namna ya ukinjaji wazile bahasha na je.upatikanaji Wa malighafi...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Wakuu nahitaji monitor flat 19 inch..mwenye nayo aniPM
0 Reactions
1 Replies
798 Views
Mm
Mm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Niko dodoma Mjini kati, niuzie simu yako uliyoitumia Smartphone (Tecno/iTel), isiwe na tatizo lolote nataka nimnunulie Dada wa kazi. Nitaihakiki ubora wake kabla ya malipo. Nina 60,000 Cash...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, natafuta mashine (sacket) ya Huawei mate 8. Yeyote aliyenayo ama anayefaham sehem ambayo naweza kuipata naomba tuwasiliane 0717546885. Nipigie ama nitumie msg NB; Mda mwingi nakuwa sipo...
0 Reactions
1 Replies
412 Views
Digital tv aina ya mobisol ipo sokoni imetumika mwezi mmoja tu Sababu ya kuuza: nipate mtaji wa kuongeza kwenye biashara zangu Nilinunua au ni ya wizi: jibu ni hapana kuna...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika design mbalimbali ambazo nimekuwa nilizifanya katika kukabiliana na tatizo la umeme mdogo katika nyumba zetu,Ambapo kwanza nilianza na design ya COUPLELING nikaja na PUSH and PULL na sasa...
0 Reactions
27 Replies
14K Views
jamani yeyote ambaye anauza au anakojua zinapatikana photocopy mashne used kwa bei rahsi aniambie. Inahtajika haraka sana
1 Reactions
21 Replies
14K Views
Mwenye hela jamani anicheki kwa hii friji, nzuri kwa wanaoanza life kigeto geto na wanafunzi wa chuo. Contacts: 0672298877
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba kuhabarishwa malipo ya facebook ads yanakuwaje? Je unaweza kutangaza ukiwa hauna hela? Wanakata pesa kabla ya tangazo au baada ya tangazo?
0 Reactions
5 Replies
967 Views
Kiwanja kimepimwa kipo kimbiji kigamboni kipo sehemu nzuri karibu na mji WA evic town bei ni milioni kumi mawasiliano 0655634017 kwenye hiyo ramani kiwanja namba 244 Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kiwanja kipo kigamboni kimbiji kiwanja namba 244 Bei ni shilingi milioni kumi pungufu unaongea Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Back
Top Bottom