Jiunge na eternal international

Lady niece

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
953
414
unangoja nni kupima afya yako. jiunge nasi uwe mwanachama wa eternal international kama utapenda maana hailazimishwi ila ukijiunga utafaidika na mambo mengi ikiwemo kufanya biashara na kujikwamua katika lindi la umaskini na kujiongezea kipato zaidi, usisite karibu sana

eternal international care biotechnology

Kwa upimaji wa afya yako

Afya njema haina thamani ya kuinunulia. usione uvivu au taabu kupima afya yako. sasa unayo fursa nzuri ya kupima afya yako kwa 10,000/= tsh. itumie fursa hii usichelewe bado ipo.

Kupima afya si lazimia uwe mgonjwa au unaumwa hapana, tunaweza kujiona tuko kamili kabisa na tuko vizuri kumbe afya zetu ni mgogoro vijimaaradhi vinatunyemelea bila hata kujijua wenyewe mana twajiona tuko vizuri kila wakati. njia rahisi ya kujua afya zetu na kujiona tuko fresh ni kupima mara kwa mara kitaalamu.

Usiopoteze fursa hii maridhawa kupima afya kama wewe unajijali. kituo kipya cha afya kinachopima afya ya mwili wako wote (body checkup) kitapima na kukupa marejesho ya afya yako
mambo wanayofanya
a) kupima afya
b) kupewa ripoti ya afya yako na ushauri bure
c) kupata fursa za kibiashara na kuuza bidhaa zao za afya

Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kufika kituoni kwetu basi nipigie au nitext kwa no. 0717 960517 tupo kinondoni moroco karibu na jengo la airter karibuni sana

Na kama unataka kuwa mwanachama karibu pia kujiunga nipigie kwa namba hiyo hapo juu kukupa maelekezo zaidi
 
Back
Top Bottom