mzee_wa_mishemishe
Member
- Aug 6, 2013
- 61
- 79
Habari za saa hizi wakuu?
Rejea kichwa cha tangazo hapo juu natafuta sehemu ya kufungua gori la chips hapa dar es salaam. ningependa nipate sehemu wanayouza chakula au bar mi nideal na kuuza chips tu. kodi tutaelewana nilipe kwa siku. asanteni
Mawasiliano yangu 0759702766