Natafuta chumba na sebule na choo ndani

Natafuta chumba na sebule na choo ndani

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,758
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu...natafuta chumba na sebule na choo ndani...maeneo ya kimara mwisho bonyokwa vyumba vinane,
Mbagala rangi tatu au mbagala zakhem. Na maeneo yanayozungukq huko...

Bajeti yangu inaanzia 70 hadi 80.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom