hayaaaa...
Niite Davie, nimeamua kujiunga rasmi baada ya kuperuuuuz kwa muda sasa..!
Nalikubali Jamvi linaendeshwa na watu makini wenye hoja makini. Nikaribisheni wazeiya..
This is adams001. I welcome you all. I feel happy to see many fiends here. I joined this forum to tell the about the brain exercise and chocolates which boost up our brain.
Brainhealthandpuzzles...
Hello My people nimefurahia kuona hii Forum Pekee yaki Tanzania!
mimi ni Mtanzania.
My name(jina):Khalid Salim
I live :in Dares Salaam
Nina miaka:18
Ninapenda na kujua mambo mengi ya software and...
naitwa lovulovu, mkazi wa jijini, mpagani kwa dini au kwa lugha rahisi kafiri. nimefurahia sana mtandao huu nami naomba mnikaribishe tuungane tuweze kubadilishana mawazo hasa hili la kutaka eti...
kanisa katoliki laipa shavu serikali ya JK
JK akiwa na Askofu Norbert Mtenga na Naibu Waziri wa Miundombinu Dk Milton Mahanga na msafara wa baba Askofu Mtenga leo Ikulu jijini Dar
Na...
kanisa katoliki laipa shavu serikali ya JK
JK akiwa na Askofu Norbert Mtenga na Naibu Waziri wa Miundombinu Dk Milton Mahanga na msafara wa baba Askofu Mtenga leo Ikulu jijini Dar
Na...
Naomba kukaribishwa kwenye jukwaa la JF. The forum seems to be very educative and entertaining. I've been following the topics in here for quite some time now,nimeamua kujiunga ili niwe sehemu ya...
wajumbe wa jamiiforums assalam aleykum,nimeamuwa kujiunga na jamiiforums niweze kujuwa nini kinatokezea na mimi niwe mmoja niweze kutoa mchango wangu,nakummbeni mnikaribishe.
pharow
Mi msichana toka Ugerman, nasoma udaktari. nafurahi kuwa nimekuta JF. Natamani mnanipa nafasi ya kuboresha kiswahili yangu. Kwa hiyo kama labda nakosa grammar msichukie.
Nimekuwa mpenzi wa hili jamvi,na leo nimeamua kupiga hodi nikaribishwe kikaoni badala ya kuwa mshuhudiaji kwa mbali.natumaini kupokelewa na kujifunza mengi toka kwenu.