Salamu kutoka Gairo

mkaguru

New Member
Jul 9, 2009
1
0
Wana Jamiiforum,
Nimeamua kuja kuishi hapa. Nimekuja na salamu nyingi saana kutoka Gairo. Gairo wanasema wanawapata. Najua nimeshakaribishwa
 
karibu sana jamvini mkaguru,
vp pale dumila, kilosa mpaka gairo hawajambo?
karibu.
 
Hivi ukitoka Dar Gairo unafikaje? Naweza kwenda hadi Mikumi then nikunje kushoto somewhere pale kwenye kituo cha mafuta?
 
karibu sana vpi ndugu etu wa mtanana nao wanasalam gani?
 
Mkuu karibu lakini huku hatuna jimbo la ubunge kwa 2010
Nawajua sana nyie watu wa Morogoro matatizo yenu ni kupenda vyeo halafu mkibanwa kwa maswali mnamwaga matusi hadi kwa wasihohusika
 
Naomba kuuliza hivi George_Porjie ndie amewekwa hapa mahususi kwa kupokea wageni wapya? Namuona anadhurura kila kona ya wageni. Au anatafuta mchumba mshamba mshamba?
 
Naomba kuuliza hivi George_Porjie ndie amewekwa hapa mahususi kwa kupokea wageni wapya? Namuona anadhurura kila kona ya wageni. Au anatafuta mchumba mshamba mshamba?


weeeee, ushindwe na kulegea, nani kakwambia mie kazi yangu kukaribisha watu?. THIBITISHA.
 
OOhooo na wewe mkaguru umenikusha wimbo wa ndugu yangu remmy ongala kabla hajaokoka kwenye ile kada ya mambo kwa soksi. sasa umekuja wapi? anyway karibu sana tuishi!! usihau mambo kwa soksi just for personal hygiene
 
Ehh bwana wee,
Habari za Gairo? Hajambo Dr wa macho hapo Gairo, Dr. Katala?
Mwambie salamu nyingi kutoka huku Sikonge...... Salimia watani wangu Wagogo.

Hivi kijiji cha Pita kiko huko Gairo?
 
Back
Top Bottom