LOl ....kumbe nilikuwa sijajitambulisha?kweli mi kilaza.anyway washkaji nipo.
BATA nawakilisha,pamoja daima wana JF
Join Date: Wed Apr 2009
Posts: 32
Thanks: 19
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0
Credits: 115,575
we imeshaingia chumbani, umenawa, unakula ndo
unaanza kupiga hodi!
Is there any sense here?
We endelea kula banaaa!!
Usimtishe Bata, inawezekana alikuta mlango ukowazi ndio akaingia ndani, lakini kakuta kuna vyumba vimefungwa ndio maana anapiga hodi.
asante kaka.keep it up??[/QUOTE]
Haya sasa....
The Farmer unaulizwa swali hapo, nadhani umjibu...
Au bado hujaona kweshen maki kwenye hiyo quote juu?
Ana vioja huyu Bata Mzinga!!
asante kaka.keep it up??[/QUOTE]
Haya sasa....
The Farmer unaulizwa swali hapo, nadhani umjibu...
Au bado hujaona kweshen maki kwenye hiyo quote juu?
Ana vioja huyu Bata Mzinga!!
cmon man,mbona unanifuata sana au unataka mshoboz?hujui bata anavotoa kipigo.
?? maana yake ni nukta.?*?=.
got me right?
asante kaka.keep it up??[/QUOTE]
Haya sasa....
The Farmer unaulizwa swali hapo, nadhani umjibu...
Au bado hujaona kweshen maki kwenye hiyo quote juu?
Ana vioja huyu Bata Mzinga!!
Yes Keet it up! we need some more from you.
Yes Keet it up! we need some more from you.
acheni hizo.
kaibu sana naona tutapata supu na nyama ya b..t..
Karibu Mwana wa MINAKI SEC.
Hapa jamii ni pazuri kama ile siku ya ALHAMISI ya kula WALI pale MINAKI.