Wakubwa mi nimwanachama mpya hapa kwa kuchangia ila nilikuwa nikisoma sana mawazo na ya watu hapa nikavutiwa sana kujiunga kama hivi naombeni ushikiano na mwakani ninaoa vp mtanichangia?
jamani mimi ni mwanachama mpya ila nina kama wiki 2 hivi toka nimejiunga na jamii forum, niliingia hapa bila ya kujitambulisha ili wana jamii forum muweze kunifahamu kuwa nami ni mmoja wenu...
it takes a millions of people to build up good reputation,but it takes only one stupid person to destroy every thing have done! so let us fight against the stupids.
thanks!
yap.meli ndio hii imekita na nanga imetua.shehena iliyobeba ni elimu ya darasani kiasi na ya ulimwengu kochokocho.kupakua ni bure bora kichwa chako kitaweza kubeba.thanks in advance.
It is a pleasure indeed to join your ranks. Let me say Hi to all of you and hope that I will not only benefit from your sharp and critical minds but will also enjoy exchanging news and views.
Assalamu alaykum.
Jamani mi ni yule yule barubaru ( Dr Hamza) wa Doha Qatar nikiwa pamoja na Mwandani wangu Bi Nasriyah.
Kwa ihsani yenu tunaomba kuingia katika baraza yenu hii.
Tunapenda...
Hello to all JamiiForums members! I have been looking for a forum where I share my mind openly. when I was browsing I came across Jammiiforums address and the words "Where we dare to talk openly"...
Hi, great thinkers, i am a new comer, i was watching you from the mud in the bush. By the way, Tanzania has many problem but i feel, the major problem is in our heads, the mindset. will tell you...
habari zenyu wajameni,
Nafurahi kuwa mmoja wa hii saiti, navashukuru member vote kwani kupitia kwenyu niliweza kuriwasika pale nilipokua katika wakati mgumu, kwani mmoja va rafiki zangu alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.