hello wanajamii

hello wanajamii

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,201
Reaction score
23,034
Jina langu M-mbabe (mtumishi; adui numero uno wa fisadi's; sihitaji udiwani, ubunge wa uraisi). Nafurahi kujumuika na wanajamii kwenye wanja hili. Wanja hili liko juu!
 
Jina langu M-mbabe (mtumishi; adui numero uno wa fisadi's; sihitaji udiwani, ubunge wa uraisi). Nafurahi kujumuika na wanajamii kwenye wanja hili. Wanja hili liko juu!

Karibu sana M-mbambe. Hivi kumbe ulikuwa hujaingia rasmi jamvini?
Ulikuwa unapitwa na vingi sana ila hujachelewa! Karibu, mchango wako ni muhimu sana.
 
Kwaniaba ya VIGOGO WA JAMVI, naomba nikuulize, we ni mdada au mkaka?...Ni muhimu sana!
Lakini vinginevyo karibu sana na tunategemea michango yako ya hali na mali!
 
"VIGOGO WA JAMVI" PakaJimmy na Himawari. Nashukuru kwa ukarimu wenu kunikaribisha humu ndani kwa mikono miwili. Nina-prefer kutojitambulisha "ukaka" au "udada" kwa sasa. Tutaendelea kufahamiana kadri siku ziendavyo mbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom