Heshima zenu mabibi na mabwana!
Nimekuwa nikisoma mijadara mbalimbali katika jamii forum na kiasi kikubwa inapanua uwezo wa kuelewa na kumfanya mtu kuwa na mtizamamo tofauti wa kile ambacho...
Hello all members of JF,
I want to welcome myself in this forum, I have been reading most of the posts and articles in this forum, i must say they are truly intriguing.
I look forward to...
Napenda kuwasalimu na kushirikiana nanyi katika mtungo huu hongera sana kwa makala nzuri. Ila huwa sipendi watu wanaopenda kuchanganya mambo mazito ya majaliwa na nchi yetu na chuki au hisia za...
Nashukuru sana kupata nafasi hii ya pekee mimi nami kuweza kujikaribisha humu kwani kabla sikuelewa nikaingia kabla ya kupiga hodi.Jamani ndugu zangu kwanza nisameheni kisha mnikaribishe .Naamin...
hey wana JF, I'm a new member signed just now.......
Kwanza hongera saana kwa kazi nzuri, nimekuwa nikipitia saana baadhi ya articles hasa za politics, nyingi zimekuwa zikisisimua na...
Habari zenu wakuu mimi member mpya wa jamii forums napenda kuja kwa kasi mpya ari mpya na nguvu mpya katika kujenga taifa bora la tanzania
Napenda kuwasilisha !!!!!!
Habari zenu wakuu, I'm glad kuwa mmoja wa wana JF kwani tayari nimenufaika na kujifunza mengi kutoka humu jamvini - hongereni sana! Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hapa JF na kwa kweli...
Hi wadau, I have been a honest reader of this forum for number of days now. As time goes i find it necessary to be a member of this society so that we can share together what we are having as to...
Being a technologically challenged being, it took me this long to register, but it is really good to be here finally. Asanteni kwa kunikaribisha, Mtanganyikan mie.
habari waungwana.
leo nimejiunga rasmi uwanjani hapa JF. ni matarajio yangu kuwa tutaendelea kuwasiliana na ndugu wote na kubadilishana mawazo na michango mbalimbali kwa maendeleo yetu kama...
nawasalimuni nyote kwa moyo mmoja, kaka zangu, baba zangu, mama zangu na wanawake wenzangu kwa ujumla. jamani, mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi. japo ni mgeni humo ndani...