Najitambulisha kwenu wana JF - BigUP! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najitambulisha kwenu wana JF - BigUP!

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by ELNIN0, Nov 26, 2009.

 1. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,768
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  hey wana JF, I'm a new member signed just now.......

  Kwanza hongera saana kwa kazi nzuri, nimekuwa nikipitia saana baadhi ya articles hasa za politics, nyingi zimekuwa zikisisimua na kuhudhunisha njisi yambo yanavyopelekwa ki mkanda mkanda, but all in all we're in the same boat, I’m sure there is a day we will reach to our promised land together as Tanzanians….. So let us keep on our focus and have the same mission and vision hadi tukakapopata mapinduzi ya kweli ndugu zangu..........asanteni sana.
   
 2. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Karibu Ndugu kwenye nyumba ya mijadala. Wewe mwenyeji wa wapi?
   
 3. bht

  bht JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  unataka kumkaribisha vekesheni ya xmas?? hayo makazi sasa...wala huhitaji heater wala ac....weather inajiregulate yenyewe
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  karibu sna
   
 5. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nataka nimualike kwenye house langu bwana 'bht' lakini naona jamaa amechuna, sijui anawaza bado, ngoja nimsubiri subiri kidogo
   
 6. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mambo Maria? Nimekumis my dear
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Angalia usije zolewa na mafuriko
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hah hah hah ila kweli MN na hiyo nyumba yangu wenyewe wanaiita mbavu za mbwa haitahimili El-Nino. Thanks
   
 9. bht

  bht JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mpwa bwana kama watu wanachangia hausi basi kwa nini tusikuchangie uimpruvu makazi

  elnino zikianza nina uhakika wa kukupoteza...Mungu pishia mbali
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  safi tu kila nikija nakuta SIPO narudi kwangu!!
   
 11. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Njoo kwangu unachotaka nitakupa ma dar*n'!!
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Tunafurahi umetutembelea. Ni faraja kuwa mwanachama wa bodi yetu. Heshimu uliowakuta kwenye bodi hii. Tunawaheshimu wanachama wetu na kuwapa thamani sawa.

  Tunatoa UHURU WA KUONGEA. Kama mada inakukuna au kukugusa kwa kiwango ambacho unaona lazima utoe majibu jisajili na kutoa ufafanuzi yakinifu.

  Ieleweke kuwa, Yaandikwayo hapa ni mawazo ya wateja wetu na si msimamo wa JamiiForums.com ama vinginevyo. Lugha za matusi hazitavumiliwa!

  Tutashukuru pale ukiona jambo baya ukatufahamisha tulifanyie marekebisho haraka kabla hujakashifu au kutoa lawama. Sisi ni binadamu na tuna mapungufu yetu.

  JamiiForums Administration
  SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

  Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:

  1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.

  2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.

  3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi,uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.

  4. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.

  5. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

  6. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.

  7. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.

  Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu ELNIN0,

  Ukweli ni kuwa siku za nyuma tulijaribu sana kuwafahamisha members kuwa JF haiendeshwi kwa fedha za watu flani bali kwa kujitolea.

  Tukatanabaisha wazi kuwa wanachama na wote wenye mapenzi mema inabidi watambue kuwa tuna mzigo mkubwa wa kubeba kwa niaba yao.

  Nyakati hizo tulikuwa na wanachama waliojisajili karibia 2,000 hivi na tukasema endapo kila mwanachama (aliyejisajili) angechangia Tshs 10,000/= basi ilimaanisha kuwa tungepata Tshs 20,000/= ambayo kwa wakati huo ingetosheleza kuiendesha JF kwa karibia mwaka mzima bila wasiwasi.

  Maisha yakabadilika, Server tuliyokuwa nayo ilikuwa ndogo sana kumbe kulinganisha na uhitaji wa watanzania, balaa lilionekana wazi Mwezi Februari pale Mhe. Lowassa alipokuwa akijieleza Bungeni... Server ikachemsha kubeba mzigo mkubwa.

  Kwa wakati huo tukaona ni vema tukaangalia namna ya kuweza kuwashirikisha wanachama juu ya ugumu tunaokumbana nao... Tukalazimika kununua server kubwa zaidi mbili na zenye back up za kila baada ya masaa 6 kwa nyakati tofauti. Tukiwa na uwezo wa kufanya hosting hata BURE kwa website za watanzania.

  Hilo likasaidia japo kwa gharama ambazo zilitoka mfukoni mwa mwanachama mmoja! Ndiyo, kulipia server hizo kila mwezi ni karibia $900 na ameendelea kufanya hivyo kwa imani kuwa kuna siku mambo yataenda sawa.

  JF inahitaji SANA michango ya watanzania na wote wenye mapenzi mema.

  Kuna wanachama ambao humu mnawaona wana usernames ambazo ni bolded, hawa ni Premium Members. Hawa walau wamechangia kwa kiwango cha kuanzia $5 na wawili walau $300 tangu JF inaanzishwa mwaka 2006 (ikijulikana kama JamboForums).

  Tangu JF inaanza (2006) mpaka sasa, tumekwishapokea jumla ya US$ 1,450/= toka kwa wanachama waliojisajili na wasiojisajili.

  Wengi wa waliohitaji kuchangia walikuwa wanatuma barua pepe nasi tunawapa maelekezo juu ya namna ya kutufikishia michango hiyo.

  Ukweli ni kwamba kwa wasio wanachama wa JF wakiwa wanasoma hapa wanaona matangazo mengi ya Google kuliko wanachama waliojisajili.

  Dhamira yetu si kuweka matangazo haya ya Google kwani hayaingizi kwa kiwango kikubwa hivyo, watu hawabonyezi matangazo hayo na hivyo income yake inategemea pale mtu atakapokosea akabonyeza tangazo ndipo tupate vijisenti kidogo kwa clicks hizo. Gharama za uendeshaji bado zinatoka mfukoni mwa mtu mmoja mpaka sasa na baadhi ya Premium Members ambao wameendelea kuona umuhimu wa kufanya hivyo.

  Mpaka sasa JF ina wanachama waliojisajili karibia 8,000. Endapo waliojili hawa wangechangia walau Tshs 10,000/= kwa mwaka basi inamaanisha JF ingetengeneza Tshs 80,000,000/= kwa mwaka na hivyo tusingeweka matangazo KABISA na tungejitahidi kupata moderators ambao watakuwa wanalipwa kwa kazi yao na wangeifanya kwa umakini mkubwa zaidi.

  Ukiangalia katika historia ya Forums nyingi, huwa zinashindwa kuhimili traffic inapokuwa kubwa kutokana na servers kuhitaji umakini zaidi na Forum owners hujikuta wanaona ni mzigo usio na faida hivyo forums hizo kufa.

  Tumshukuru Maxence kwa kuendelea kulipia gharama hizi kila mwezi kwa kujitolea mpaka sasa huku akilipia na Chat Server (IRC Server).

  Wapo wanachama kama Ogah, Nyambala, SteveD, FairPlayer, Mchukia Fisadi na Phillemon Mikael ambao huchangia walau kila wanapopata wasaa... Hawa nao wamesaidia kwa kiwango kikubwa katika jitihada za kuhakikisha JF inakuwa hewani. Bila kuwasahau wadau waliochangia walau $200 hivi initially kama Mtanzania, Field Marshal ES na Halisi.

  Ninachoamini binafsi ni kitu kimoja, Tshs 5,000/= kwa mwaka inawezekana kabisa kwa watanzania tulio na uwezo wa kuingia mtandaoni. Na uzuri, benki zetu Tanzania zinaruhusu mtu ku-deposit Tshs 5,000/= kama kiwango cha chini.

  Endapo kuna mwanachama anaguswa (kutoka moyoni) na angependa kuiwezesha JF kuendelea kusimama imara na kufanya vema zaidi bila mizengwe ya kifedha, basi anaweza kukubali kuchangia Tshs 5,000/= walau kwa mwaka.

  Benki zetu (hapa naongelea NBC na CRDB kwa haraka) hazikulazimishi unayetuma hela kuandika jina lako la kweli bali lile ambalo ungependa mpokeaji alitambue.

  Kwa walio Tanzania wanaweza kuichangia JF kwa kutuma katika akaunti za NBC au CRDB.

  Akaunti ambazo tangu awali tulipendekeza zitumiwe ni za Maxence Melo (as the JF Founder) na tukawaomba wanaotuma waandike Nicks za kuweza kutanabaisha kuwa wao ndio walotuma.

  Michango inaweza kutumwa kwa njia kuu nne:

  Kwa walio nje wanaweza kutumia PayPal au Credit Cards au Debit Cards kwa kufuata link hii ( https://www.jamiiforums.com/payments.php) iliyo kwenye sahihi yangu (linapoonyesha dole gumba) na pindi mchangiaji anapoweka chochote tunakuwa notified nasi tunafanya kuwasiliana na mhusika ili aweze kupandishwa kwenda katika group la Premium Members.

  Njia ya pili ni kutumia Western Union au Money Gram na kutuma kwenda kwa Maxence Melo wa Dar es Salaam.

  Njia ya tatu ni kutumia Bank accounts za Maxence kama ifuatavyo:

  NBC:

  Acc #: 033201064359
  Jina: Maxence Melo Mubyazi

  CRDB:

  Account Name: Maxence Melo Mubyazi
  Bank: CRDB Pugu Road Branch
  Swift Code: CORUTZTZ
  Acc No: 01J2092391800

  Njia ya nne ni kwa kutumia email ya macdemelo@gmail.com
  kwenye hii link: https://www.payoneer.com/webapps/Load/LoadToPage.aspx

  Ikumbukwe, SI LAZIMA kuandika jina lako la kweli na SI LAZIMA kwenda mwenyewe bank kutuma pesa hizo (kwani unaweza kumpa unayemwamini na kumpa account details na jina lako ambalo ungependa aandike).

  Tunaweza kuandika mengi lakini ukweli unabakia pale kuwa JF inahitaji michango yenu kwa sana tu.

  Kwa wenye maswali zaidi wanaweza kuwasiliana na Maxence kupitia namba yake ya simu +255713444649.
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  karibu sana mzalendo mwenzetu

  tuko pamoja
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  du mzizimkavu naona huna maskhara
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  asante lazima Tumpe sharia za humu ndani sio aingie tu bila kujuwa ndani ya JF kuna sheria na sheria ni Msumeno na lazima Sheria zifuatwe au sio Bi First Lady1?
   
 17. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #17
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mbona NIPO Maria. Karibu mumy
   
 18. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  karibu ndugu
   
 19. GP

  GP JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  unaenda mbali.
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  LOL! CCM au CHADEMA wewe? Kwaheri!
   
Loading...