Pied Piper
Member
- Dec 4, 2009
- 15
- 0
Waungwana salam sana. Mimi mgeni.
Step in JF the name of love
karibu mkuu,
za huko utokako?
karibu sana mkuu JF,Salama kabisa brother.
Nafarijika kuingia kwenye forum.
wataalam wa fasihi wanaweza wakakuuliza. mgeni jina au mgeni cheo?Waungwana salam sana. Mimi mgeni.
karibu sana mkuu JF,
jisikie uko nyumbani!!!.
wataalam wa fasihi wanaweza wakakuuliza. mgeni jina au mgeni cheo?
vyovyote iwavyo karibu sana au sisi wanasayansi tunasema welkamu veri. kuwa mvumilivu, kuna wengine wakikerwa na wake zao majumbani ,hasira wanakuja kuzitolea hapa ukumbini.
karib sana!
Waungwana salam sana. Mimi mgeni.