Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,347
- 3,023
Jamani nipokeeni nimetumwa kumwaga kikla kitu nje ya maadili ya Kitanzania
Jamani nipokeeni nimetumwa kumwaga kikla kitu nje ya maadili ya Kitanzania
Jamani nipokeeni nimetumwa kumwaga kikla kitu nje ya maadili ya Kitanzania
Nje ya maadili ina maana umekuja kama mchafuzi wa hali ya hewa au unaposema nje ya maadili ya kitanzania unamaanisha nini?
Jamani nipokeeni nimetumwa kumwaga kikla kitu nje ya maadili ya Kitanzania
umetumwa na jini gai markata, mariam au jini mahaba?
majini ndio huwa yanatumwaDuh Mbona unawaza sana MAJINI!
Kama umetumwa, kamwambie aliekutuma kuwa hapa tupo full loaded!
Carmel huyu alitumwa toka last wk lakini naona hajibu hata tunayouliza sijui karud kwa aliyemtuma kumwambia huku siyo??
Jamani nipokeeni nimetumwa kumwaga kikla kitu nje ya maadili ya Kitanzania
Karibu ndani ya JF "The Home of Great Thinkers" hapo nilipo-bold kuna utata kidogo, naomba ufafanuzi kidogo!!!
bado anasoma yale maelekezo aliyopewa na mzizimkavu, ni marefu lakini akimaliza yatamsaidia
Mkulima ulikuwa wapi rafiki yangu,nilikuwa nimekumiss katika hili jukwaa lako la kuwakarimu wageni wetu.Binafsi uwa naamini wewe ndo mod wa hili jukwaa la wageni.Basi ulipokuwa haupo wapwa wakalivamia jukwaa lako na kuligeuza la mahusiano,si unaona wakaribishaji sasa wameongeza.Welcome back.