Diana-dabodiff ndani ya nyumba.

Double diff inauhusiano wowote na ile kampuni yetu ya mambo ya kujiexpress? nina maana ya tiGo ? Karibu sana
 
Sijawahi kutumia mobitel/buzz/tigo,natumia vodacom miaka 10 na kabla ya hapo tritel,kwa sie watoto wakike ukitumia tigo au zantel unaonekana bahili au hauna kitu.
 
Mamaaa DDD unamakeke wewe mmmh ila naona haujamuelewa Masanilo.
Upo Voda iliuonekane hujapigika? Daaaaa wemkali. KARIIIIIIIIIIIIIIIIBU JF.
 
Sijawahi kutumia mobitel/buzz/tigo,natumia vodacom miaka 10 na kabla ya hapo tritel,kwa sie watoto wakike ukitumia tigo au zantel unaonekana bahili au hauna kitu.

Ha!ha!ha!ha!ha!.....Double D sina uhakika kama umemwelewa vizuri mtaalam Masanilo.......!

BWT....Karibu sana JF!
 
Sijawahi kutumia mobitel/buzz/tigo,natumia vodacom miaka 10 na kabla ya hapo tritel,kwa sie watoto wakike ukitumia tigo au zantel unaonekana bahili au hauna kitu.

Kume ukitumia tIGo au Zantel unaonekana hoi!!! Lakini wakaribishwa sana
 
Sijawahi kutumia mobitel/buzz/tigo,natumia vodacom miaka 10 na kabla ya hapo tritel,kwa sie watoto wakike ukitumia tigo au zantel unaonekana bahili au hauna kitu.

My dia jaribu tiGo ni mtaandao wa wajanja, nina uhakika ukiujaribu asilani huwaweza uacha ukizingatia wewe ni double diff...
 
karibu sana tena umekuja wakati muafaka, maana hilo jina DDD, mnhhh.
 
Ama Double diiff jamani mbona una mbwembwe nitakuomba uje univute na diff yako kwani hill ni gari la mi aka ya akina Fataki
 
Huyu ndie Diana yule nimjuaye? kuleeeeee? kama ni wewe karibu, jamvi limepata makali oh ! na kama si wewe pia karibu, jamvi lahitaji!
 
Mzee mwenzangu sidhani kuwa anamfahamu Diana huyu nilisoma post yako moja ulivyokuwa unayaruka magoma na kina marehemu zialor na meya sykes enzi zetu zilee.
 
Back
Top Bottom