Nina kamba mguuni...

Sn2139

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
834
250
Wana JF mimi ni kuku mwenye kamba mguuni, je huku mnatoboa jicho?
 
Wewweeeeee mgeni..mbona umeingilia nyuma?...Plz soma vizuri majukwaa yaliopo, then utapaona pahala sahihi!
Lakini karibu!...Hapa ni siasa tu bana!
 
hahaaa @PakaJimmy amejiingilia nyuma?

karibu mwaya kupotea ndo ugeni wenyewe...
 
Nashukuru .. nimekaribia, samahani kwa kukosea mlango na hiyo ndio dalili ya kuku mgeni. Salaam alleikum
 
Back
Top Bottom