hai hai wanajamvi naombeni walau nafasi kwenye hili jamvi lilosheheni fikra kadha wa kadha, mi wenu wa mamndenii mzee wa kitochi na kisusio, 'kiru mmbe'
Natumaini mpo shwari kabisa. Nipokeeni kama mmoja wenu,katika kubadilishana mawazo juu ya kinachoendelea hapa bongo na ulimwengu wote.
Michango kwa ujumla ni mizuri,na ndio nimevutika kuwa...
Habarini za ujenzi wa Taifa wanajukwaa.
Nimefika mtaalamu wa masoko ya ndani,Na ni mwanasiasa pia
Napenda kuchuku nafasi hii muafaka kabisa kujiunga nanyi katika kuleta MAISHA MABOVU NA DHIKI...
hello, a'alaykm, hali zenu,
my name is Kamal Fareed, and i have recently joined jamii-forums. I'm a Tanzanian, n I currently live in Dar. I'm a student at ISM (International School Moshi)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.