Holla JF! Wenyewe! wenyewe!

Mbogo

New Member
May 15, 2010
3
0
Natumaini mpo shwari kabisa. Nipokeeni kama mmoja wenu,katika kubadilishana mawazo juu ya kinachoendelea hapa bongo na ulimwengu wote.
Michango kwa ujumla ni mizuri,na ndio nimevutika kuwa mwanachama kabisa.

Asanteni!
 
Back
Top Bottom