Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
:frusty:jamani wazee wa jammiforum mi ndiyo nime ingia ukumbini hivyo naomba muni karibishe kwa mikono miwili. asanteni!!!!!!!!!!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana jamii nawasalimu mwenzenu ndio naingia. Nipokeeni niwe miongoni mwenu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari yenu. nawasalimu, ndio kwanza najiunga humu.
0 Reactions
2 Replies
904 Views
Nimefurahishwa na maada zinazo jadiliwa na nimeshindwa kujizuia kujiunga kwenu wakubwa kwani kuna mambo mengine yamefichwa wanao weza kuona ni member tu.Mpo juu wakubwa wote kwa ujumla
0 Reactions
5 Replies
2K Views
A great talker is a great liar, Actions have greater influence than words. IF I WERE OBLIGED TO SACRIFICE ONE OF THESE TWO THINGS; LIPS or LIMBS, I WOULD AFFORD TO LOSE THE FORMER THAN THE LATER...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina furaha kuungana nanyi tena. Tuko pamoja. Shukrani. Steve Dii
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Assalamu allaykum
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello wana JF, am a new member in da forum. hi to all.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakubwa nawasabahi, nimeingia ukumbini nipeni kigoda cha kukalia sio kagoda invest. Najulikana kama Nguruvi3 kwa wale wa paris a.k.a pare wanajua maana, hekima zimejaa ndani ya DNA zangu,nina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwazani Jina langu, desh desh mchumba wangu. Ndo naingia hivyo. Mtajiju!! Wapendwa, nikaribisheni tafadhali.
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari members wa JF, Nimesoma sehemu nyingi humu zimenifurahisha sana, ninafuraha kujiunga na kuwa mwanachama mwenzenu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi,
Hello, evrybody out there! hoping u're doing great! Mimi niko very fine. We'll be together ktk uwanja huu ili kupeana changamoto mbalimbali. I believe, we'll share experiences concerning varied...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF? Nina furaha sana kujumuika nanyi kwenye hii forum.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kukaribia ukumbini.....
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nilipita ndani bila ya kutoa salam
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hey, here is Jibali say hallow to all, lakini si kuku mgeni vile, Thanks.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
waungwana nilisahau kubisha hodi tafadhalini mniwie radhi na ninawaomba mnipokee rasmi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tujenge jamii bora yenye maadili mema. Asanteni saaaana.
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Hi JF users! It's another new member in the forum. Salaam kwa washika dau wote pamoja sana katika kuleta mageuzi ya kifikra. No one can do it except JF! Bye!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana Jukwaa, Mi mwanachama, mpya katika jukwaa hili, nimesikia mengi mazuri kuhusu hili jukwaa na nimeamua kujiunga rasmi, ili niweze kutoa mchango wangu na kufaidika na michango ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom