Hello!

karibu ila umekosea njia, jaribu kuleeee kwenye utambulisho!
 
kweli we mgeni,ila utazoea tu na kufahamu lipi bafu chooo na makeup room,kuliko ulikojitambulisha sawa na kujipaka mafuta kwenye chumba cha mkaa,karibu sana
 
Mwaya bisha hodi popote tu pale iwe jukwaa la wakubwa, sports, picha wewe tu.
karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom