CheGuevarra
Member
- Dec 20, 2010
- 26
- 0
Wakuu naomba nami kujiunga katika uga wa ma-genius wa JF. Ni mwana mapinduzi mwenye mrengo ulio wazi about future of our nation, jina langu lina -potray msimamo huo..... hodihodi hodi
KaribuWakuu naomba nami kujiunga katika uga wa ma-genius wa JF. Ni mwana mapinduzi mwenye mrengo ulio wazi about future of our nation, jina langu lina -potray msimamo huo..... hodihodi hodi
ewaaa... huo ndio uungwana, karibu pita, ule mchele na tanziSijajua anyway itabidi ni-edit ili kudiffer though he is my hero.... thx kwa karibu bana
kudiffer though he is my hero.... thx kwa karibu bana