hi wana-jf, ndo mgeni kabisa humu ndani, naomba kupokelewa, tuweza kulisukuma mbele hili gurudumu. Mmekuwa kimbilio langu mara nyingi ktk mwaka huu wote na hakika nimeipenda jf kwa mada mbalimbali zinazoletwa na wadau kiasi kwamba zinagusa kiasi cha kuwiwa kuchangia pasi kuziacha mada nzuri ziende bila kuchangia. Pia nawapongeza wote kwa hii kazi nzuri mloifanya 2010, nategemea makubwa zaidi 2011.