NIMEFANIKIWA KUSAJIRI NGO YA KIJAMII,ITAKAYOJIHUSISHA NA UTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU KWA MASUALA YA AFYA.
INAITWA NYUMBA YA UTU (HOME OF DIGINITY (HODi)).
pamoja na kutetea haki za kiafya...
Waheshimiwa wana JF,SALAAM kwa wote. I'm stany! ITS ALL ABOUT SAYING HELLO TO ALL GREAT THINKERS!! I'm very happy been a Jf member. I promise to collaborate with you in giving my views concerning...
Nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana wa mtandao jamii huu,na nimefurahishwa na kurasa zake, hivyo leo naomba kupokelewa kwani ndio nimejiunga leo japokuwa mimi ni miongoni mwa wafuatiliaji wakubwa...