hello, marafiki wa JF

Majaliwa

New Member
Feb 2, 2010
4
1
Nia yangu ni kuwasilimia tu kwani bado mim ni mgeni katika jamvi hili na kwa utamaduni wetu sis wa tanzania salamu muhimu...wazima wote?
 
karibu JF Majaliwa....mimi mzima,natumai nawe pia....Enjoy!:happy:
 
Nia yangu ni kuwasilimia tu kwani bado mim ni mgeni katika jamvi hili na kwa utamaduni wetu sis wa tanzania salamu muhimu...wazima wote?

Majaliwa you are welcome, na jisikie upo home... All the best katika JF jamvi....
 
Owkey, karibu JF espesial MMU na huu ndiyo mkwaruzo ila usikae nao mbali kwani hauumizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom