Hodi

Hodi

babaubayaz

New Member
Joined
May 5, 2011
Posts
4
Reaction score
1
Mimi mgeni humu jf sijatumwa na mtu yeyote humu nimekuja kwa nia yangu mwenyewe
 
Mimi mgeni humu jf sijatumwa na mtu yeyote humu nimekuja kwa nia yangu mwenyewe

Karibu Mkuu! Lakini mbona unajihami mapema? Acha tukuhukumu kwa nyendo zako humu jamvini. Karibu sana karibu Mkuu.
 
Karibu ila kuna mtu humu ndani anaitwa Baba Ubaya sasa wewe unajiita babaubayaz, tafakari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom