Nipokeeni wenyeji

Manoy

New Member
Jun 6, 2011
2
0
Ndo mara yangu ya kwanza najiunaga na JF,wenyeji mnipokee na mnipe taratibu za mtandao huu.Asanteni.
 
Karibu sana Manoy jamvini. Kuna thread imeandikwa "Jamiiforums Rules" itafute uisome, humo kuna utaratibu mzima wa namna ya kuishi humu.
 
Ndo mara yangu ya kwanza najiunaga na JF,wenyeji mnipokee na mnipe taratibu za mtandao huu.Asanteni.

Manoy hujambo,........................................karibu sana...................................... wazima huko utakeapo??????........................karibu sana Manoy
 
Mbona tayar ushaingia, haya swali kwako ulífaham vipi uhu mtandao wa kijamii na kunamtu amekushawishi au ni kwa mapenzi yako.majibu tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom