Style gani yafaa?

Style gani yafaa?

Patflax jr

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
72
Reaction score
1
Mgen nipo mlangon najiuliza niingie vp ndan ya jumba hili kubwa la JF lenye wapangaji lukuki? Wapangaji wenzangu naomba mnikaribishe.
 
mmmh style yoyote unayoona njema kwako na kwa manufaa ya JF
karibu
 
Ingia kinyumanyuma, haya karibu sana, upo safi weye?
 
haha..nyc title...inaonesha umekua guest kwa muda mrefu xana...Karibu!
Ki-ubavu ubavu sio mbaya!
 
Pitia dirishani ndio kunafaa zaidi, karibu sana!
 
Vua magamba uingie,............. Na unakaribishwa sana
 
Chagua uipendayo mgeni, karibu sana.
 
Back
Top Bottom