bisheni nanyi...

bisheni nanyi...

utantambua

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,367
Reaction score
324
Wakuu
Tunaambiwa kuwa tafuteni nanyi mtapata bisheni nanyi mtafunguliwa. Kwa minajili hiyo basi katika kiu yangu ya kutafuta maarifa nabisha hodi JF. Proudly Tanzanian
 
Thanx wakuu wote hapo juu kwa kunikaribisha. Pamoja sana
 
karibu sana mkuu. Lah! ila jina lako ni zito kwelikweli.
 
welcome to ze weldi mdau! hapa ni kisima cha fikra. karibu saana!!!
 
welcome to ze weldi mdau! hapa ni kisima cha fikra. karibu saana!!!
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
<br />
Kwa kutokua mwanachama nilikosa privileges kibao. Na kati ya wachangiaji wanaonivutia Chimunguru u mmoja wao. Thanx mkuu
 
Ulimakafu na chatu dume nashukuruni. Pamoja sana wakuu
 
Dah, karibu mkuu. Tunayasubiri kwa hamu mawazo yako.
 
Back
Top Bottom