Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Na bisha hodi tayari nikiwa ndani ya nyumba hii ndo tabia zetu huko kijijini msishangae mimi ni Mtanganyika1 siyo mdanganyika naomba mnipokee tu,tutasalimiana baadae baada yakuketi ndo tamaduni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimefurahi kujiunga na jamii forum kwani nilikua naisikia redioni tu.
0 Reactions
11 Replies
935 Views
I am happy that now have joined JF. Through you I hope I will learn a lot. Ninaomba mnikaribishe kwa vifijo na vigeregere. Ambe muraa.
0 Reactions
7 Replies
889 Views
Naombeni all wanajamii mnipokee na fikra zangu,i wish am not alon.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hakika wana JF nawapongeza sana kwa habari na changamoto nyingi za maisha katika nyanja zote. nimeamua nami niongezeke kwenye jamii ,ili tuzidi kubadilishana mawazo mbalimbali kati ya aliyekuwa na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
helloo people on the site, hw is it on here
0 Reactions
3 Replies
710 Views
Mgeni akikaribishwa vizuri hujsikia furaha,amani,na upendo.nahitaji kupenda kupendwa na kufurahi na ndugu wote.amina
0 Reactions
15 Replies
1K Views
hi every one im so happy to be here to share my thoughts and listen to other people opinions. most important is the way we get breaking news from Tanzania.... this is one of the greatest site to...
0 Reactions
78 Replies
4K Views
Wapi napata mitambo ya umwagiliaji inayotumia nishati ya upepo?
0 Reactions
8 Replies
624 Views
Am new to this, Hi to all members
0 Reactions
18 Replies
1K Views
hi jf i'm a new kid on a blok just want to enjoi the ideas of great thinkers
0 Reactions
22 Replies
2K Views
mmmmh!!!!!jaman nikaribishen basi namie member,,,,
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Hodi mpaka ndani,dushelele hapa.Pata na kibwagizwo kidogo. Nilimwambie asile Ye alikula akavimba akaja Mtoto mzuri aliye zaa na yule jamaa Mwenye mahela, akaniacha na njaa Kwenye mataa Yeye...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
hodii mnataabika sana giza ni noma nimefika nikaribisheni
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Salaam wana JF, leo ndio siku ya kwanza kabisa kujiunga nanyi katika Forrum hii. Nimefanya hivyo kutokana na kuvutiwa na uhodari wenu katika kuchangia mada mbalimbali hasa za kisiasa. Natumaini...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanaajamiii hodi humundaanii!!!
0 Reactions
13 Replies
882 Views
Naomba kukaribishwa katika Forum hii!!!!!!!!!! Wenyeji mpo?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Najiuliza hivi nani jeuri kati ya pesa na sisi masikini nakusaka kila siku unaniambia hupatikani, nauza mwili unakuja kidogo.........n.k
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hellow, i'm coming in,nimekuja kuwashika take care n'takupoteza.teh teh te te te!
0 Reactions
14 Replies
906 Views
heshima mbele wana jf,naombeni mnipokee nami niweze kuwa mmoja wa familia hii! Asanteni sana nategemea ushirikiano wenu kwa pamoja!!!!
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom