Hell00 JF and shikamoo kwa wakubwa zangu.........nimeamua kujiunga na JF baada ya kupata habari nyingi na msaada kutoka JF kila ninapo-search katika google posts za humu zimekuwa zikinisaidia...
Hodi hodi jamvini binti white naingia,Jamii forum nisikia,kila mtu kuisifia,wazee na vijana pia,Maarifa kujitakia,ndo maana nimeingia,Sitaki kubaki kama mkia,upumbafu nimeuchokea,Nimeingia jamvini...
Wana jamii naomba mnipokee katika jamvi makini kwa ajili ya kuendesha kwa umakini JAMVI lenye hekima Pamoja. Mungu awe nanyi nyote sasa na hata milele.
Nimefurahi kuwa member wa hii forum kwa kuwa inanifundisha na kunihabarisha mambo yahusuyo Taifa letu la Tanzania. Inapendeza kuona jinsi gani watanzania wana uchungu na nchi yao licha ya toufauti...
Wakuu ambao ni Great Thinker naomba kujiunga nanyi. Nimekuwa mgeni na msomaji wa makala mbalimbali humu ila naomba sasa kujiunga rasmi. Naomba mnipokee
Naitwa Chipolopolo!Wenyeji wangu.Kwa heshima na taadhima.Naomba kukaribishwa japo katika viunga vya nyumba zenu tu itanitosha.Sebuleni au kwingine itakuwa ziada!Nimefurahishwa na uchangamfu...