Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mnipokee mebers
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Holla wakuu, Nimerudi tena Jamii Furum, since 2017 finally leo ndio na Login naomba ushirikiano wenu, wakuu, by professional ni FUNDI UMEME karibuni pia naomba mnipokee.
3 Reactions
8 Replies
813 Views
Hello JF members, happy to join you.
2 Reactions
10 Replies
797 Views
Hodi hodi humu.
1 Reactions
3 Replies
518 Views
Jamani hamjambo
1 Reactions
4 Replies
614 Views
Habar ya wakat huu wapendwa mimi ni mwanachama wa jf nilikuwepo muda tangu 2021 lakin sijajitambulisha kwenu...naombeniii mnipokeeee na ni fresh graduate natafuta internship ilii kupata experience...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Ii hapa ni mgeni
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Nimeingia kwenye mji huu wa kidijitali ila kabla hata siku haijaisha nimeona ni uungwana kuwasalimu kwanza wenyeji. Nimekuwa ni msomaji wa muda mrefu wa jamiiforums katika majukwaa kadhaa ila...
3 Reactions
11 Replies
842 Views
Hodi hodi, Hujambo?
1 Reactions
6 Replies
559 Views
Wakuu za sahizi, Mimi babu yenu nimeamua kujiunga nanyi leo, hii Baada ya kuuona huu mtandao ukipewa support kubwa sana na watu mbalimbali Mimi nime staafu kazi X niliyoitumikia kwa mika 35...
13 Reactions
95 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa jina LA jamuhuri wa muungano Me Nimgeni jamvinii naombeni mnipokee mnipe ushirikiano. Napi napenda kuwa kumbusha, Baadhi ya watu wanao kejeri wenza wanapo leta nyuzi zao...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Hello wana JF. Nafurahi kujiunga na hii familia. Naomba mnikaribishe [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
1 Reactions
9 Replies
641 Views
Habari, nashukuru na mm kuwa miongoni mwa wadau wapya JamiiForums
3 Reactions
6 Replies
394 Views
Nimerudi tena
3 Reactions
5 Replies
503 Views
Habari wakuu, Nimejiunga na JamiiForums leo tarehe 27/11/2023. Naomba kukaribishwa kwenye jukwaa.
9 Reactions
99 Replies
3K Views
mimi ni member mpya humu ndani wanajamii naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wandugu imenilazimu kuingia humu, maana nimekuwa kimya kwa muda mrefu lakini sasa nimeamua. Na imenipasa kufanya hivyo kutakana na hasira ya kukosa umeme. Kwa kuwa kazi za ofisi haziendi wala...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Huku ninyi mnapokeaje wageni mbona kama sielewi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Mimi jina langu, ni San na ni mgeni wa hapa JF. Lengo langu la kujiunga hapa ni kutaka kupata maarifa na ushauri kwa baadhi ya members wa humu na pia ninapenda sana kusoma riwaya...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimependa kujitambulisha kwenu wadau wa jamii forum mm ni mgen nimejiunga nanyi humu ili tuweze kujadiriana,kujifunza,kuhabalishana habari mm naitwa minji
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom