Hello guys,
Nashukuru kupata nafasi ya kujiunga pamoja nanyi katika jukwaa hili, nimatumaini yangu nitajifunza mengi mazuri kutoka kwenu hasa kwenye Siasa, ushauri, urembo na mengine mengi.
Shukrani
Mimi ni mgeni humu kutokea maeneo ya Mo Arena Bunju.
Namtafuta mgonjwa wangu muhimu sana tulipotezana uwanja wa taifa baada ya goli la pili kufungwa baina ya Simba na Yanga. Sijui yu hali gani...
Habari za wakati huu?
Ninatumai wewe unaesoma ujumbe huu ni mzm wa afya ila kama una changamoto ya kiafya pole sana Mwenyezi Mungu akupe wepesi, mie ni mgeni humu na ni Mwanasheria...
Hello wana Jamii. Nimekuwa nikisoma majadiriano mengi ya wana Jamii forums kwa mda wa miaka mitano sasa. Ila karibuni ndiyo nimeamua kujiunga rasmi nami niwe mmoja wapo wa wachangiaji na kuweza...
Naitwa Comrade Ally Maftah
1. Ni rafiki wa wote
2. Mwanasiasa wa Jiji la Mzizima
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam
Mjumbe Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.