I'm back again'

Holla wakuu,

Nimerudi tena Jamii Furum, since 2017 finally leo ndio na Login naomba ushirikiano wenu, wakuu, by professional ni FUNDI UMEME karibuni pia naomba mnipokee.
Karibu sana Fundi Umeme, Huu mgao wa umeme utaisha lini? Mabwawa yamejaa maji ujue!.
 
Back
Top Bottom