Ngo ngo ngo, hodi wenyeji

Start-Menu

Member
Sep 10, 2023
12
63
Nimeingia kwenye mji huu wa kidijitali ila kabla hata siku haijaisha nimeona ni uungwana kuwasalimu kwanza wenyeji.

Nimekuwa ni msomaji wa muda mrefu wa jamiiforums katika majukwaa kadhaa ila nimeamua rasmi niingie kwenye ngoma nipate uhondo zaidi kuliko kuwa mtazamaji / msomaji.

Mnipe baraka zenu wenyeji wa huu mji na ninaomba ushirikiano wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom