Awaone wezi wa jf au Sio🤒🤒.
Karibu sana Mkuu.Habar ya wakat huu wapendwa mimi ni mwanachama wa jf nilikuwepo muda tangu 2021 lakin sijajitambulisha kwenu...naombeniii mnipokeeee na ni fresh graduate natafuta internship ilii kupata experience mbalimbaliiii.......naomben mnipokee
Wataalamu wa rikiboy mme fika🤒Karibu sana Mkuu.
Jina lako bila shaka linasadifu yaliyomo.
Nonoqueen
Nono- yenye nyama nyingi, mafuta, siyo kimbaumbau
Queen- malkia
Hivyo wewe ni Malkia uliyejaa. Mwenye nyama na mafuta yake.
Mashallah!. Karibu jukwaani.
Duh Leo zime Waka😂😂🤣🤣Karibu mimi ni mkurugenzi wa kampuni kubwa sana na nitakupatia kazi leo leo. Kampuni yangu inaitwa Ghetto na policy kubwa ya kampuni yangu ni 'we don't give a f@@ck'.
Meet your new boss.
Kwamba zimewaka nini?Duh Leo zime Waka😂😂🤣🤣
Si naona f@k company ya Riki boy I'm ingia kazini🤣😂Kwamba zimewaka nini?
Huko sipo mzeeSi naona f@k company ya Riki boy I'm ingia kazini🤣😂
Duh Leo zime Waka😂😂🤣🤣