Asante mwanajamii mwenzangu Erick,angalau najickia faraja!
Yas King Kong '3'
Kama sio wewe vile,maana tumekukaribisha lakini sasa ndio Tycoon wa JF.
Habari wana jf, me mgeni humu jamvini, naomba ukaribisho wenu
Kama sio wewe vile,maana tumekukaribisha lakini sasa ndio Tycoon wa JF.
Kaka umepotelea wapi kitambo sana...
Afu wewe King Kong III una mbwembwe kama umepokea mshahara jana...........
U-tycoon mchezo.
BTW nadhani umeamka Salama.
Nipo Mafunzoni kiongozi.