Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nimekuwa mfuatiliaji mwezi mzima nimeona na mie nijiunge, rasmiii. Naombeni mnikaribisheee jamani.
17 Reactions
75 Replies
3K Views
i,m new to jamiiforums. naona ni site nzuri ya news na vitu vingine vya buludani.
0 Reactions
5 Replies
930 Views
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hapa JF kwa muda mrefu hatimae leo nimekuwa miongoni mwa member naombeni mnipokee kwa mikono miwili
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Nikiwa siku kadhaa sijaonekana kwenye huu mtandao wangu pendwa wa jamii forum kutokana na majukumu yangu magumu ya kitaifa na kimataifa,Sasa nimerejea tena hapa jamii forum Kwa energy yangu kubwa...
6 Reactions
11 Replies
917 Views
Hodii hapa. Kalbu ninaipenda, zaidi kutoka kwenu Kwa kupenda, yetu yawe yenu Hodi hodi hapa, mlango nifunguliwe. Be blessed
2 Reactions
5 Replies
723 Views
Habarini jamii forums nipende kujiunga nanyi katika jukwaa hili adhimu kushiriki na kuleta mijadala yenye tija Kwa taifa na jamii Kwa ujumla Ikiwa na lengo la Kulinda Amani mshikamano na umoja...
2 Reactions
5 Replies
720 Views
Habari Wana JF, Mimi ni mgeni,naomba ushirikiano wenu na maoni yenu #JF hatutoki
5 Reactions
5 Replies
595 Views
Hodi humu ndani
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni humu ndani naomba kujiunga nanyi.
3 Reactions
9 Replies
705 Views
Habari zenu Ba Ndugu Baada ya Kusoma sana Jamii Forums Bila Kujisajili Hatimaye Nimekuja. Mimi Mgeni Naombeni Mnipokee. Nimevutiwa na Nyuzi Nyingiii Humu, Umughaka, Mshana jr , Mtibeli , Controlla...
3 Reactions
8 Replies
787 Views
Nafuraha kuungana na JF family
4 Reactions
5 Replies
574 Views
Kwa mara ya kwanza naanza kutumia Jamii Forum nikaribishwe
4 Reactions
11 Replies
655 Views
Jamani wakuu mimi ni Mwanachama mpya naomba ushirikiano
3 Reactions
8 Replies
594 Views
Naomba mnipokee Mimi ni mtanzania mwenzenu.
2 Reactions
11 Replies
917 Views
Ni aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa. Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu. Ahsante
21 Reactions
73 Replies
3K Views
Hello, JF Nimekuwa sehemu ya Familia. Niko tayari kuchangia elimu ya juhudi dhidi ya rushwa na udanganyifu kunufaisha wadau mbali mbali. Karibu
3 Reactions
4 Replies
483 Views
Am new to the forum, kindly invite me in a warmly welcome note... I don't speak and write much Swahili... But 'll try out... Ciaao joh
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari zenu jamii forum members, aisee nilikuwa nikifuatilia jamii forum Kwa muda mrefu tangia mwaka 2012 , yaani miaka 12 iliyopita, japo am new member here. NIMEJIFUNZA MAMBO MENGI. Na nimeona...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Napenda saaana JamiiForums
2 Reactions
14 Replies
737 Views
WAKUU HESHIMA SANA KWENU: Nimekua msomaji humu jf miaka takribani sita ila now ni mwanachama haiiii..humu ni vile sijasomeka persnlty yangu kwa kuwa sikua rasmi ila character za members na...
1 Reactions
9 Replies
697 Views
Back
Top Bottom