Baba P___ New Member Feb 15, 2024 1 2 Feb 16, 2024 #1 Naomba kukaribishwa kwenye jukwaa hili kama muandishi wa masuala tofauti tofauti ya kijamii!!
Morning_star JF-Expert Member Apr 21, 2018 4,167 11,490 Feb 16, 2024 #2 Mh? Tunaanza kukutilia mashaka! Mwanaume anakaribishwaga?
kitalembwa JF-Expert Member Jul 12, 2014 2,870 7,170 Feb 19, 2024 #5 Passport size mbili tuma, uwe na barua ya mtendaji wako , tuma nakala yake pia
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,993 94,015 Feb 20, 2024 #7 Morning_star said: Mh? Tunaanza kukutilia mashaka! Mwanaume anakaribishwaga? Click to expand... WTF