Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari wanajamiiforum, Hatimaye na mm nimejiunga nanyi naomba mnipokee vyema.... Ili nia yangu ya kujifunza vitu vingi kupitia media hii niweze kuifanikisha... Asanteni. Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Waungwana naomba mnipokee. Bati zenu ziwe imara.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hodiii hadi ndani. I joined today. Nikaribisheniiii Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi mgeni wa kuanzisha thread ila ni mwenyeji wa kusoma habar mbal mbal humu, nimeamua kujiunga rasmi jana naomba mnipe ushiriano. Mm ni ke umri 25 picha cwek maana hamchelew kusema hilo...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Habarini,mimi naitwa kilobwakauye,ni mgeni humu...naomba muongozo. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
795 Views
wakuu mimi ni member mpya naomba munikaribishe kwa moyo mkunjufu
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Hodi wanajamiiforum. Mm ni member mpya humu nimependezewa kujiunga kwenye jamii hii ili kupata maarifa na habar mbalimbali kutoka kwa wanajamii. Lakini pia kutoa kile nnachokifaham pale...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Hello Great Thinkers! I am a new member and wanted to say hi to all my fellow members as part of the introduction. Nafurahi sana kuwa humu miongoni mwa watu wenye upeo wa mbali ki mawazo ambao...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hali zenu wanajamii......mm ni memba mpya naomba mnikaribishe mwenzenu
1 Reactions
8 Replies
979 Views
Hello me mgeni nataka kuona faida za jf fursa zinazojitikeza maswala ya maisha siasa n mengine ushirikiano muhimu nawapenda Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
735 Views
Hello, JF tupo pamoja.... All the way frm daslam Doraesther(kido)
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Hodi humu ndani
0 Reactions
16 Replies
926 Views
Samahanin wakuu nlikua nataka kufahamu ni miaka mingap mtu anae soma bachelor ya pharmacy atatumia wakat anasoma koz hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani mm Nataka kujua mambo mengi Sana huku JF mm ni member mpyaa Kabisa twende sawa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa muda Wakuu nimekuwa naingia jamvini kama Guest. nashukuru Mungu hatimaye nimefanikiwa kujiunga
0 Reactions
10 Replies
1K Views
I hope mko poa...am a new Of member! Real need ur cooperation & look forward learning a lot from u.....one love[emoji110]
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wakubwa! Nimekuwa msomaji Na mfatiliaji mzuri Tu wa mada mbali mbali humu Sasa nimeamua kuwa member rasmi. Mnipokee! Thanks. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Hi
Mdau Mpya sapoti yenu bandugu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
956 Views
Nashukuru saana kua mmoja wa akili kubwa jf nipokeeni. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
888 Views
Hey guys im new here
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom