Habari

samua

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
1,029
708
Hali zenu wanajamii......mm ni memba mpya naomba mnikaribishe mwenzenu
 
Rafiki taratibu za huku ni kwamba member mpya anatakiwa kuweka picha zake tofautitofauti tatu hapa pamoja na namba yake ya simu
 
Hali zenu wanajamii......mm ni memba mpya naomba mnikaribishe mwenzenu
Memba mpya...!!?
Mbona umeweka picha ya VIATU katika avatar....! Ni nani kakufundisha tabia hiyo..!?

Weka picha yako halisi tukujue...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom