habari wana jf..poleni na majukumu ya kila siku na pilika pilika za hapa na pale katika maisha haya..mimi ni mgeni humu japo nmekua nikipitia pitia baadhi ya nyuzi uku ndani kwa muda kidgo..naomba...
Jina langu mtumwa huru, Jinsia-Me)Naombeni ridhaa ya kuwa nanyi waheshimiwa, nimejifunza na kufurahia mengi kwenu kabla ya kuamua kupiga hodi humu......
"Being Famous on Jamii Forum is Like being Rich in Monopoly" Habari wana Jamii, Mimi ni member mpya humu,natumaini tutakua pamoja tukishirikiana kuchangia&kushauriana...
Jamani mi ni mgeni naitaji kukaribishwa kwa unyenyekevu maana nimevutiwa na kuhusu mwendelezo wa nafasi za kujiunga za jkt na jwtz na mm ni m1 wapo na KUONDOSHA STRESS kumenikamata kidog
Sent...
Wa ndugu habari zenu! Nimeona namimi nisiishie kuchungulia dirishani bali niingie ndani nijionea mwenye vilivyomo ,tafadhali naomba ukaribisho.
Asante sana.
Mko poa? Jamani mm ni mgeni wenu nipokeeni.
Nilikuwa napita pita kwa nje tu Leo nimeona nami niingie kwenye jumba lenu humu.
Napenda kulala pa zuri, kula vizuri, kukaa pazuri, kuongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.